Jijini Dar es Salaam Ajira zote wamezikamat hawa wachina,Pichani mchina huyu akipiga debe kutafuta abiria kwa ajiri ya Kibajaji.Wageni hawa wameliingilia jiji la Dar kwa kasi na kuchukua ajira zote za wamachinga.