Pichani mtoto mdogo akimuonyesha upendo mkubwa wa meza( nguruwe) kwa kumbusu na kumlamba kabisaa kama ujioneavyo.Mafua ya wanyama hawa huwa makali sana kiasi kwamba kuna baadhi ya watu hupoteza maisha yao kwa magonjwa yatokanayo na wanyama hao.Mnyama huyu kuna watu wanamla kama kitoeo,nyama choma na hata rosti la mchuzi,ila kwa waislam ni Haramu.