Hali tete kwa watu wa kusini mwa Sudan juu ya masuala ya chakula.Umoja wa Mataifa unaendelea kutoa misaada kwa wakazi hao.