Jitahidi kati ya mambo kadhaa japo kumfanyia machache mpenzi wako,hata kumtoa kwa masaa mawili tosha kwake kwani atajihisi naye ni mpendwa kati ya wapendwa duniani.
 Kama ukishindwa kumtoa hata zawadi kama hii ni nzuri kwani atakukumbuka kila anapoivaa na kuona kweli umemjali.
Na usiku mambo kama haya ni mazuri sana kwa wapendanao,kwani inapendeza mkaendeleza mapenzi kwa njia kama hii pichani.