Baada ya kipindi cha likizo kuisha hali imekuwa tata jijini Dar es Salaam kwenye kituo kikuu cha mabasi Ubungo.Abiria wamekuwa wengi sana kiasi wengine wanakata tamaa jinsi gani ya kurudi mashuleni na majumbani.