Unaweza kufikiri kuwa huyu mtu karushwa toka juu na hapo anaanguka chini...Si kweli bali hapo huyo mchezaji wa ngoma za Kirundi alipopandwa na mzuka wa ukweli kwa jinsi uondo wa ngoma ulipompanda kichwani anaonekana akijirusha juu kwa kujizungusha hewani.Ngoma hizi ukibahatika kuziona kwa macho yako kwa kweli utazifurahia sana kwani zinafurahisha.