Utumbo ni nyama tamu sana endapo utasafishwa vizuri,na kama vikiwekwa vikorombwezo vyake kwenye mchuzi.Tatizo linakuja pale wauzaji wake wanavyouuza.Jionee mwenyewe pichani.