Mpaka kufika zima moto mambo yalikuwa hiivii!!Jamaa pichani wakishangaa kuona hakuna kilichobaki nyumbani kwao,wakati tukio linatokea wao hawakuwepo na waliopiga simu zimamoto walikuwa ni wapita njia kwani hata majirani nao hawakuwahi kuuona huo moto.Chanzo cha moto huo inasemekana na kutozima jiko la Gas.Picha hii nimeipiga ndani ya Mkoa wangu,ila sio kijijini kwangu.Wanakijiji wenzangu na jirani zangu kwa ujumla tuwe makini sana na majiko ya Gas.