Kama uzuri wa mwanamke ni Urembo basi huyu bidada Beyonce ni Mzuri,na kama uzuri wa mwanamke ni tabia sasa tutajuaje tabia yake na sisi tupo mbali nae?Je kama ana tabia mbaya tuseme si mzuri?Unajua misemo mingine imepitwa na wakati au tuseme ni mtazamo wa nyakati.....