Viongozi wa Chama cha demokrasia na Maendeleo(Chadema) wakiwa wamebeba jeneza la mmoja kati ya wananchi waliouawa katika maandamano yaliyokatazwa na Jeshi la Polisi ila walipokaidi jeshi likaja na mtazamo mwingine.Mungu awalaze mahala pema peponi marehemu wote waliojitolea uhai wao wakitetea haki zao.