Wasichana wa Kichina waliodanganywa kuwa watapatiwa kazi nchi za Ulaya wamekwama Africa pande za Congo wakijihusisha na ukahaba.Wachina hao ambao wanafanya biashara ndogondogo nchi hapo ili kuongeza kipato chao huku wakiendeleza biashara hiyo ya ukahaba,wamesema kuwa biashara ya ukahaba inawalipa sana ukilinganisha na matarajio yao na kuwafanya kutokukubali kurudi kwao.