Watu watatu wameuawa kinyama kwa kumiminiwa risasi na watu wasiofahamika wakati wakisheherekea ngoma ya asili (Tambiko) na kusababisha wengine watatu kujeruhiwa vibaya kwenye tukio hilo.Tukio hilo lilitokea katika kijiji cha Sunya wilaya hapa.