WATU wawili waliouawa na wananchi kwa tuhuma za ujambazi katika Kijiji cha Sirori Simba wilayani Serengeti na kuzikwa na Manispaa ya Musoma kutokana na kutotambuliwa na jamaa
zao, wamefukuliwa baada ya ndugu zao kujitokeza.