Meneja wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger pamoja na mshambuliaji wa pembeni wa timu hiyo Samir Nasri, wameshtakiwa na Shirikisho la soka barani Ulaya- Uefa kutokana na matamshi yao makali dhidi ya mwamuzi baada ya kufungwa na Barcelona usiku wa Jumanne.(Pichani juu na chini ni mzozo kati yao hao watuhumiwa wa lugha ngumu,Mchezaji wa Arsenal na kocha wake.