Basi kubwa na kusafirisha wakimbzi mpakani mwa Tunisia wakitokea Libya (AirBus toka nchini Belgium pichani) likisafilisha wananchi ambao wamelazimika kuikimbia nchi hiyo kutokana na vita vya ndani kwa ndani vilivyopo takribani wiki tatu sasa.Basi hilo kubwa sana limewasili toka jumatatu iliyopita ili liweze kusaidia raia hao.