Mwanamama mwenye mtoto akikatiza barabara huku taa ya kumkataza asipite ikiwa bado inaonyesha kuwa watu waendelee kusimama.Ajali kama hizi ambazo kwa asilimia mia moja tunachangia sisi watembea kwa miguu na baadae kuwalaumu waendesha magari pale tunapogongwa.Picha hii imepigwa jana jioni na mzee wa Blog ndani ya jiji la Rome nchini Italia.