Hiyo alama ya hapo juu kwenye bango inaonyesha kuwa kuna reli inakatiza hapo mbele,ila ukiangalia jinsi watu walivyofungua matawi ya biashara zao hata kujali hawajali kabisaa na foleni za magari ndio kwanza zinazidi hata uoga wa kuogopa ikitokea treni ghafla hakuna anayeogopa,je kitu kama hii Idara husika huwa inafanya kazi gani?au mpaka zitokee ajali kwanza?