Jana katika uwanja wa Old Trafford timu ya Arsenal ilijikuta inabamizwa bila huruma na wenyeji wa uwanja huo timu ya Manchester United kkwa jumala ya goli 2 -0 katika kinyang'anyiro cha kugombea kombe la Fa.Pichani ni mkongwe wa timu ya Manchester United Ryan Giggs akiudhibiti mpira mbele ya bwana mdogo Nassir wa Arsenal.