Kaimu Mnikulu, Kassim Mtawa, (katikati) akimkabidhi Latifa Abdallah, (kulia) funguo za Pikipiki aina ya TVS zenye thamani ya Tsh Milioni 9 na nusu Ikulu Dar es Salaam kwa ajili ya Wasanii wa Kikundi cha Survival Sisters cha Dar es Salaam ambazo zimetolewa na Rais Jakaya Kikwete. Kushoto ni Irine Malekela.