Mkazi wa Manispaa ya Morogoro akipita karibu na bango lililoegeshwa Stendi ndogo ya Daladala mjini humo, likihamasisha wananchi wenye magonjwa ya aina mbalimbali wanaohitaji kwenda kupata tiba kikombe kwa Mchungaji Mstaafu wa KKKT, Ambilikile Mwasapile(Babu) katika Kijiji cha Samunge, Loliondo, Mkoani Arusha.