Watu watatu wameuwawa baada ya polisi kuwafyatulia risasi waandamanaji Bahrain.Jeshi nalo limetangaza kuwekwa kwa amri ya kutotoka nje katika maeneo kadhaa ya mji mkuu Manama.
Amri hiyo itatekelezwa kuanzia saa kumi jioni hadi saa kumi alfajiri.Pichani ni uwanja wa Pearl mjini Manama.