Kuelekea shule ya msingi na ufundi Kaloleni.Hii ndio A.Town,yani Arusha mjini, kuna Baba Preciuos anataka watoto wake wote wasome huku.(Precious na Prince).
Kilombero sokoni.Usafiri huu unanikumbusha mbali sana,unaweka mzigo ndani ya mkokoteni kisha wewe unamuelekeza mwenye mkokoteni wapi pa kushusha mzigo yeye anaupeleka,yani kuaminiana tu.