Ukiwa Bara utasikia hizi ni Chapati za Maji na kule kisiwani kwa shemeji utasikia huu ni Mkate wa Maji,sasa sijui wapi ni wakweli juu ya hili,wandugu naombeni maoni yenu tafadhali.