Waziri wa mambo ya nje wa Belgium amesema nchi yake ipo tayari kuisaidia Japan kutokana na dhoruba iliyopata na mafuriko makubwa ambayo hayakuwahi kutokea nchini humo.Akizungumza na waandishi wa habari,amesema kuna zaidi ya raia 700 toka Belgium wanaoishi nchini Japan katika jiji la Tokyo."Tupo tayari kuwasaidia Japan kwani matatizo yao ni sawa na matatizo yetu",alimaliza.