Ndege ya kivita ya Belgium nayo imeanza mazoezi angani siku chache baada ya mashambulio ya umoja wa Mataifa kuishambulia Libya..Waziri mkuu wa Belgium bwana  Yves Letermeakizungumza ndani ya Bunge la Belgium kuwa "tunaweka mambo sawa ili kuungana na kanuni za sheria la utekelezaji wa Azimio la umoja wa Mataifa la mwaka 1973,kuwa tupo pamoja na nchini nyingine kuishambulia Libya.