Jana usiku ilikuwa hapatoshi kwenye Mgahawa mpya wa Bidada Lady Jay Dee Namanga jijini Dar es Salaam,ni mgahawa mpya ujulikanao kwa jina la NYUMBANI LOUNGE,pichani ni wapenzi na mashabiki wa bidada Jay Dee na mumewe Gadner G Abash.Blog Inawapongeza sana kwa jitihada zao za kuwekeza nchini,Kila la heri kwa wanandoa hawa.