Mwalimu (aliyeshika makaratasi) akisahihisha mitihani ya wanafunzi jirani na kituo cha mabasi ya daladala ya kwenda Mbagala kando ya barabara ya Msimbazi mjini Dar es Salaam.