Edwin Van De Sar golikipa wa Manchester United akichupa bila ya mafanikio yoyote baada ya mshambuliaji wa timu ya Chelsea Frank Lampard kuachia mkwaju mkali wa penalti na kuifanya timu yake ya Chelsea kutoka uwanjani kifua mbele kwa ushindi wa 2-1.
Frank Lampard kushoto,Ashley Cole na Drogba wakishangilia kwa nguvu zoote ushindi wao dhidi ya Manchester united hapo jana..Chelsea walitoka uwanjani kifua mble kwa goli 2- 1 dhidi ya Manchester united.