Mshambuliaji machachari wa timu ya Chelsea akiifungia timu yake goli la kwanza kwa kichwa maridadi kati ya goli tatu walizowafunga Blackpool na kufanya mpaka mwisho wa mchezo Chelsea 3-1 Blackpool..