Ukijaaliwa kuingia Dubai jaribu kuizunguka kwa kadri uwezavyo,jamani Dubai ni kuzuri sana,angalia jinsi nchi ilivyojengwa na kupendeza,sijui na sisi lini nchi yetu itakuja kuwa kama za wenzetu..
 Ukiwa unatembea madukani utapenda kwa kweli,hali ya usafi wa majengo na mazingira kwa ujumla yanavutia sana,angalia chini ukiwa unatembea unajiona mwenyewe kwa jinsi sakafu zilivyonakshiwa na madikodiko kila upande.
 Siwezi kuita Trein kwani hizi si treini,ila zinafanana kama trein ni Metro ambazo zinakimbia sana,sehemu ya mbali inachukua muda mfupi sana kufika..kwa mfano hapo nyumbani Tanzania ukiwa umeipanda kule Ferry itakuchukua dakika kama Sita mpaka kumi kufika Ubungo,nafikiri utafikiria jinsi gani hizi Metro zinavyokimbia.
Mama miaaaa,Angalia sakafu jinsi inavyomeremeta hata ukiangangusha kapipi kako unaweza kukaokota na ......