Nyoshi El Saadat akiwajibika katika kuleta burudani kwa wapenzi wake pale anapotoa sauti ya Simba ukumbini kila mmoja uinuka na kucheza.Hapo ndani ya ukumbi wa The Blue Triple A jijini Arusha.
 Wanenguaji mahiri wa kundi la Fm Academia wakiwa mzigoni kuleta raha ndani ya ukumbi.
Jose Mara mwenye sauti tamu kama ya kasuku hakuwepo nyuma kukonga nyoyo za mashabiki wake The Blue Triple A Arusha.Fm Academia wapo ndani ya Arusha wakiwapagawisha mashabiki wake.