Mpira ni kazi,burudani,mchezo na mpira huohuo ni hatari sana kwa wachezaji wenyewe,ebu angalia jinsi baadhi ya hatari zinazotokea uwanjani wakati watu wapo kazini kuwaburudisha watu wengine.