Pichani kushoto ni msanii wa vichekesho JOTI akimshauri muandishi wa habari Jerry Muro jambo fulani,angalia huo ushauri jinsi alivyokuwa akiutoa utasema ni kocha wa ngumi anatoa maelekezo kwa bondia wake. Picha ya chini nayo raisi wetu wakati akiongela jambo fulani juu ya maendeleo ya nchi yetu,kwa msisitizo wake basi ukunja ngumi kabisaa utasema Chadema wanakuja ili awakandamize kwa makonde.Utamaduni wa mtanzani kuongea kwa mikono uona kama ndio anaeleweka zaidi...