Jamani kwa weznetu wa Japani mambo yalikuwa ni hatari sana,na hivi vitu jamani ni kusikia au kuona kwenye picha tu.Eeeh Mungu tunusuru sisi na vizazi vyetu yasije yakatukuta haya,maana mmmh!!Toka baharini mpaka nchi kavu tena juu ya paa ya nyumba ya ghorofa!!! duuh siwezi kusema zaidi..