Kama halmashauri ya jiji tunayo juu ya masuala ya usafi,kama viongozi bora tunao na kama watu wa usafi wapo je inakuwaje hali kama ya kukuta uchafu wa makaratasi katikati ya jiji?Ebu ona hii picha ya mji wa Brussels jinsi ulivyokuwa msafi na wa kuvutia,kwakweli inakatisha tamaa kuona mwananchi anakatwa kodi kubwa halafu anatembea katika mazingira machafu.Idara husika ichukue hatua hatupendi kuona kila siku hatubadiliki ni aibu sana kwa taifa letu.