Wiki iliyopita nilitoa hii katiba ili kila mmoja wetu ajue nini kimeandikwa humu ndani,najua wengi wa watanzania hawaijui katiba ya nchi inasema nini,wao ni kufuata mkumbo tu wa kudai katiba ibadilishwe.Fuatilia kwa kina ili kujua kilichomo humo ndani,je kweli inafaa ibadilishwe au iendelee hii hii?swali na jibu la katiba hii utaipata pindi ukiisoma yote na kuielewa vilivyo.