Mchezaji wa timu ya Anderlecht ya Belgium na aliyewahi kuwa mchezaji wa timu Aston Villa na Sheffield Wednesday zote za Uingereza Gilles De Bilde amehukumiwa mwaka mmoja jela na kulipa faini ya Euro 1'100 baada ya kufanya shambulio la kumpiga mkewe na binti yake.Akikiri makosa yake mbele ya hakimu ambaye alimuhukumu na kumwambia kuwa" mwanamke ni mshirika wako na sio mnyamwa wa kufugwa".