Bidada Judith Wambura (Lady Jay Dee) au ukipenda hata kumuita komandoo ni sawa tu.Jumapili iliyopita alikuwa jijini Nairobi akiwapa watu wa pande zile burudani.Ilikuwa ni Wine and Blamkets Festival ambayo hufanyika kila jumapili ya kwanza ya mwezi ambapo ushirikishwa kila mwanamuziki toka pande yoyote ya Africa ili kuleta umoja wa kujuana wanamuziki hao.