Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli (kushoto) na Naibu Waziri Dk. Harrison Mwakyembe (kulia) wakati alipoitembelea wizara hiyo katika mfululuizo wa ziara zake katika wizara mbalimbali mjini Dar es Salaam.