Pichani ni bango kuubwa likimuonyesha raisi wa sasa nchini humu bwana Goodluck Jonathan akiwa ameandika maneno matamu ya kuomba kura.bwana Jonathan hivi sasa amenza kufanya kampeni zake ili kuomba kura katika duru la pili la uongozi wa chama chake utakaoanza mapema mwezi ujao.Raisi Jonathan alishika wadhifa huo toka kwa kiongozi wa zamani ambaye alifariki dunia kwa maradhi ya figo.