Trailer ya 50 Cent kwenye movie aliyo-act mwaka jana 2010 iitwayo Things Fall Apart imeshaanza kuoneka kitaani.
Humo ndani 50 Cent alipungua kilo 25 wakati ana-act hiyo film ya Things Fall Apart,ambayo 50 ame-act kama University of Michigan football player
50 Cent ameizungumzia filamu hiyo na kusema kuwa ni changamoto kwake na aliyempa moyo wa ku-act movie hiyo ni rafiki yake aitwaye Charles Pringle,ambaye alikua mwanamuziki na actor, alikufa kwa kuugua ugonjwa wa cancer aka saratani