Kwa sisi Watanganyika huwa tunaita vibweka,kwa wenzetu ni hali ya kawaida na kujiona kwamba ndio tamaduni zao toka enzi hizoo..Hii ilikuwa mwaka jana kipindi cha Carnival,sasa sijui mwaka huu itakuwaje,msikose kuwa nami jino kwa jino nitawaletea Vibweka vingine vya mwaka huu.