Hivi kweli huyu mtoto anajua mambo ya siasa?Pichani kijisichana cha Ki'Libya kikipiga teke picha ya kiongozi wa nchi hiyo raisi Muammar Gaddafi,bwana Gaddafi hivi sasa ana wakati mgumu sana kutokana na kuwa wananchi wake wengi wameanza kumpinga kuwapo madarakani.