Bidada Lady Jay Dee Commando akipokea mkono wa pongezi kwenye ufunguzi  wa mgahawa wake wa Nyumbani Lounge siku za hivi karibuni kutoka kwa Mbunge Mohammed Dewji.Mbbunge Dewji alikuwa mmoja wa waalikwa katika uzinduzi huo.