Yani watu huwa tunaangalia tu Luninga ila hatujui kabisaa nyuma ya Camera kuna vituko vya ajabu...Ebu angalia huyu mrusha video za wasanii wanapokuwa wanatangaza live,Kumbe anakuwa namna hii !!!!duuh.