Nimekutana nae uso kwa uso sikuweza kumtambua huyu ni wa Kiumeni au Kikeni,kuuliza si ujinga ila hapa nilibaki na ujinga wangu,maana wa masai kwa mapangaa mmmh...Hivi jamani huyu wa kike au wa kiume?