Ona parking ilivyotulia mpaka baiskeli zimeegeshwa kwenye maegesho yake tena kwa mfumo bora zaidi.Kwani sisi hatuwezi hii kitu jamani?Idara husika nafikiri ujumbe umefika kazi kwenu,msisubiri Jk awaite.