Shilole ndio jina lake analotumia kila siku, huyu ni nyota mpya kabisa katika tasnia hii ya filamu hapa kwetu Bongo kwa upande wanaochipukia. Mbali na hapo ameonekana kidogo kwenye filamu ya Black Sunday na ukiachana na filamu hiyo pia katika wimbo wa Bongo fleva wa Top C unaoitwa ULOFA dada huyu Shilole ameonekana katika video hiyo. Kaa tayari kwa kumuona mwanadada huyu akifanya mambo makubwa hapa kwetu Bongo, 
Big Up Shilole.