Mchezaji wa Liverpool Dirk Kuyt akianguka katikati ya wachezaki wawili wa manchester united.Ilikuwa patashika nguo kuchanika leo uwanjani,leo Manchester United wameendelea kulambishwa chungu ya kufungwa baada ya kupokea kipigo cha goli 3 -1 dhidi ya watani wao wa jadi Liverpool ndani ya uwanja wa Anfield nyumbani kwa Liverpool.