Kufuatia mapigano makali siku ya Jumamosi asubuhi, majeshi ya serikali yalilazimishwa kusogea nje ya mji, ingawa baadhi ya taarifa zinasema wamejipanga upya na huenda wakawa wanapanga mashambulizi mapya.(Pichani wapinzani wa Libya).
Wapinzani nchini Libya wamezuia jaribio la majeshi ya serikali ya kuuchukua tena mji wa Zawiya, kilomita 50 magharibi mwa mji wa Tripoli.